Utawala wa Rais Donald Trump umeliambia Bunge la Marekani kuwa vita vyake na Iran vimewagharimu takriban dola bilioni 25 kufikia sasa, kiwango kinachokosolewa vikali na chama cha Democratic. Siku ya ...
Viongozi wa Mataifa ya Guba wamekutana mjini Jeddah Saudi Arabia, kujadili mzozo unaoendelea katika kanda hiyo, uliosababishwa na vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran. Viongozi hao walikaribishwa ...
Nchini Sudan, vita vimeingia mwaka wake wa nne. Tangu jeshi lilipoiteka tena Khartoum mwaka jana na utulivu wa kiwango fulani umeripotiwa kaskazini mwa nchi, karibu Wasudan milioni 4 wameamua kurudi ...