Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa. JESHI la Polisi linamshikilia Deogratias Mbuya (40) makazi wa Legho Kilema, Wilaya Moshi mkoani Kilimanjaro kwa tuhuma za kumuua Baba mkwe wake ...