Dunia ya soka imepigwa na butwaa kufuatia taarifa za msiba wa ghafla wa mshambuliaji wa Kimataifa wa Ureno, Diogo Jota (28), aliyefariki dunia katika ajali mbaya ya gari. Kwa mujibu wa taarifa rasmi ...
WATUMISHI 10 kati ya 43 wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe, waliokuwa wakielekea wilayani Makete katika wamenusurika kufa baada ya gari namba T985 DHH aina ya Fuso Bus kuacha njia ...