MABAO mawili ya Ligi Kuu Bara aliyofunga kiungo mshambuliaji nyota wa Azam FC, Feisal Salum 'Fei Toto' juzi dhidi Mtibwa ...
SOKA la England linaendelea kushuhudia mchango wa wachezaji wenye asili ya Tanzania, huku Tarryn Allarakhia akiwa tayari ...
Afrika Kusini ni sehemu muhimu ya historia ya kisiasa, kijamii na michezo ya Afrika. Taifa hilo limepitia vipindi vya maumivu ...
HATIMAYE Neymar Jr amejumuishwa katika kikosi cha timu ya taifacha mastaa 55, huku nchi mbalimbali zikianza kutangaza vikosi vya awali kwa ajili ya Kombe la Dunia 2026, wakati mastraika ...
PARIS Saint-Germain inataka kumsajili mshambuliaji wa Atletico Madrid na timu ya taifa ya Argentina, Julian Alvarez, 26, ...
KIUNGO wa KMC, Omary Chibada amesema amekuwa akivutiwa na kiwango cha Duke Abuya kutokana na namna anavyocheza kwa utulivu ...
LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea leo kwa michezo minne kupigwa, huku vita ya pointi tatu ikitarajiwa kusakwa kibabe kuanzia ...
KWA mara ya kwanza, Septemba 10, 2025 mashabiki wa Simba na wadau wa soka nchini, walipomshuhudia Naby Camara katika tamasha ...
Katika orodha ambayo Mwanaspoti inayo, kuna winga Buba Jammeh ambaye alijiunga na Yanga kupitia usajili wa dirisha dogo ...
WAKATI wengi aliokuwa nao katika klabu za England na Scotland pamoja na timu ya taifa hawasikiki tena, Ian Wright, anaendelea ...
IJUMAA iliyopita, ilielezwa kuwa wachezaji saba wa Azam FC walilazwa hospitali mjini Arusha mara baada ya kuugua ghafla kabla ...
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Allan Okello, ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Aprili 2026 huku aliyekuwa kocha wa timu ...