Klabu mbili maarufu za soka nchini Tanzania, Yanga na Simba zinateremka dimbani leo kwa mchezo wa ratiba ya ligi kuu unaotarajiwa kutoa mwelekeo wa mashindano hayo ya kandanda kwa mwaka 2024/25.
Klabu ya Simba imetangaza kwamba haitocheza mchezo wake dhidi ya watani wao wa jadi Yanga hii leo ikisema imesikitishwa na vitendo visivyo vya kiungwana dhidi ya timu yao kuelekea mchezo huo. Klabu ya ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results