Zaidi ya mwezi mmoja baada ya kufungiwa katika Hoteli ya Decapolis huko Panama City, makumi ya wahamiaji wa Asia na Kiafrika waliofukuzwa kutoka Marekani wanabaki Panama, kwa kukosa mahala pa kwenda.
Waziri wa Denmark anayefahamika kwa mitazamo yake hasi dhidi ya uhamiaji amewatolea wito Waislamu kupumzika wakati wa Ramadhani akisema kufunga ni "hatari kwetu sote". Matamshi hayo kutoka kwa waziri ...