Mamlaka za Kenya zimeshindwa kuhakikisha haki inatendeka kwa mauaji ya watu wasiopungua 31 na ukatili mwingine uliofanywa na polisi wakati wa maandamano kote nchini kuanzia Machi hadi Julai 2023.
Zikiwa zimesalia siku nne kufikia tarehe ya mwisho iliyowekwa na Tume ya Kitaifa ya Haki za Kibinadamu nchini Kenya kwa ajili ya kuwasilisha maoni ya umma kuhusu mfumo uliopendekezwa wa fidia ya ...
Mahakama Kuu ya Kisumu imeiamuru Serikali ya Kenya kuwalipa fidia ya jumla ya Ksh milioni 38.6 waathiriwa wa dhulma za polisi wakati wa maandamano ya mwaka 2023 yaliopaza sauti kufuatia kupaa kwa ...
Maandamano hayo yanatarajiwa kuongozwa na vijana wa Gen Z, wanaharakati pamoja na Wakenya wengine wanaoituhumu serikali kushindwa kuwakinga dhidi ya makali yanayotokana na kupanda kwa bei ya mafuta.
Results that may be inaccessible to you are currently showing.
Hide inaccessible results