(Nairobi) – Karibu miezi miwili tangu msururu wa maandamano kuanza nchini Kenya, Serikali ya Kenya bado haijachukua hatua zifaazo kuwaadhibu maafisa wa polisi na makamanda wao waliohusika na mauaji na ...
Mamlaka za Kenya zimeshindwa kuhakikisha haki inatendeka kwa mauaji ya watu wasiopungua 31 na ukatili mwingine uliofanywa na polisi wakati wa maandamano kote nchini kuanzia Machi hadi Julai 2023.
Mahakama Kuu ya Kisumu imeiamuru Serikali ya Kenya kuwalipa fidia ya jumla ya Ksh milioni 38.6 waathiriwa wa dhulma za polisi wakati wa maandamano ya mwaka 2023 yaliopaza sauti kufuatia kupaa kwa ...
Maandamano hayo yanatarajiwa kuongozwa na vijana wa Gen Z, wanaharakati pamoja na Wakenya wengine wanaoituhumu serikali kushindwa kuwakinga dhidi ya makali yanayotokana na kupanda kwa bei ya mafuta.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results