Kabla tu ya Mwaka Mpya, Shatha al-Sabbagh mwenye umri wa miaka 21 alikuwa akienda kununulia chokoleti watoto wa familia yake kutoka duka moja huko Jenin, katika eneo la West Bank unaokumbwa vita vya ...
Ijumaa ya leo nimeona ni heri nitumie maisha ya binti yangu Angel Wanjiru kama njia ya kuwapa moyo katika safari hii ya maisha. Safari ya maisha huwa na panda shuka sio haba, na ndio maana ni sharti ...
Usiku wa Desemba 15, 1997, moto ulizuka katika nyumba ya wana ndoa kutoka Puerto Rico, Luz Cuevas na Pedro Vera, huko Philadelphia, Marekani, wakiwa na wana wao wawili wadogo wa kiume na binti yao ...